VYAKULA

Infografiki hii inazungumzia vyakula katika Uislamu ikiweka wazi vyakula vya halali na vya haramu. Pia imegusia kubainisha sheria za kula wanyama na mambo yanayohusiana na wanyama ikiwa ni pamoja na uchinjaji na uwindaji kwa utaratibu wa kisheria.