Muharram (Mfungo Nne)

Infografiki hii inazungumzia mwezi wa Mwenyezi Mungu wa "Muharram". Inajumuisha maana ya jina, sheria za miezi mitukufu, ubora wake na kwa nini umekuwa mwezi wa kwanza? Pia inazungumzia siku ya Ashura, kwa nini imepewa jina hili, ni ni zipi sheria na ni upi ubora wa kufunga siku ya Ashura? Infografiki hii inapatikana kwa lugha mbali mbali.