Ramadhani

Infografu hii inazungumzia mwezi wa Ramadhani, kwa nini uliitwa hivyo, vita mashuhuri na ukombozi wa Kiislamu ambao umetokea humo pia namna ya kuthibiti kuingia kwa mwezi huo na baadhi ya sheria zinazo uhusu.